HUDUMA YA MASOMO

KWA WASOMAJI WETU

Kutokana na uthamani wa injili, tunayo ihubiri, pamoja na umuhimu wa wasomaji,

Wasikilizaji, na watazamaji wetu, tumeona Ni vyema pamoja na mambo mengine, tutoe elimu halisi ya masomo ya kichungaji na ki Biblia ili kuwapa uelewa mpana zaidi kuhusu injili hii tunayo ihubiri pamoja na jinsi ya kuishi maisha matakatifu. Masomo haya kwa urahisi kabisa lakini kwa kiwango Cha Hali ya juu. Huduma hii itapatikana kokote uliko na wakati wowote utakapo hitaji, kwa njia ya mtandao. Utachagua lugha unayo hitaji Kati ya Kiswahili au Kingereza.

MAHITAJI

Utatakiwa kuwa na vitu vifuatavyo:-

1. Simu Aina ya smart phone.

2.Utasajili baruapepe yako mwenyewe

3.Utatakiwa kujisajili kwenye Facebook.

4.Utatakiwa kuwa na Whatsapp.

Vitu hivi vyote ni muhimu, ili kukuwezesha kupata taarifa kwa wakati na kwa ukamilifu.

Endapo utahitaji ufafanuzi zaidi, isisite kutupigia simu kwenye namba zifuatazo:-

0755175187 au 0629938087.

Karibu Sana na Mungu akubariki.