ORODHA YA MASOMO

Masomo tunayo tarajia kutoa, orodha yake Ni hii.

Kozi 13 zinahitajika

  1. Historia ya Ukristo Ulimwenguni au historian ya Kanisa.
  2. Kanisa na Huduma
  3. Misingi ya huduma
  4. Uchambuzi na ufafanuzi wa wa maandiko
  5. Uchambuzi wa Agano Jipya
  6. Uchambuzi wa Agano la Kale
  7. Kutegemeza wachungaji
  8. Theolojia I
  9. Theolojia II
  10. Misingi ya Kikristo
  11. Ujenzi na Uwasilishaji wa Mahubiri
  12. Watu Mahiri kwa huduma
  13. Uhusiano Wa Viongozi wa Kikristo

Ukikamilisha masomo haya, utakuwa umefikia kiwango Cha kiwa mchungaji au mhubili aliekamilika kielimu kwa saizi ya ngazi ya cheti, Tena kimataifa.

Majina ya masomo haya kwa Kingereza Ni haya.

13 courses required

  1. History of World Christianity
  2. Church and Ministry
  3. Ministry Foundations
  4. Hermeneutics and Exegesis
  5. New Testament Survey
  6. Old Testament Survey
  7. Pastoral Care
  8. Theology I
  9. Theology II
  10. Christian Basics
  11. Sermon Construction and Presentation
  12. People Smart for Ministry
  13. Christian Leaders Connections