Tunajihusisha na kazi ya kuhubiri neno la mungu, kufundisha watu kuishi maisha matakatifu, na kumtumikia mungu kwa ujumla. Tunatoa huduma ya maombezi kwa watu wanye matatizo mbalimbali kama magonjwa sugu na ya kawaida, matatizo ya kimahusiano, matatizo ya uzazi, matatizo ya kiuchumi, watu waliovaamiwa na nguvu za mapepo, na matatizo yote ya kila aina uliyokata tamaa. Kuwa na matumaini na imani kwa mungu mwenye uwezo wote nae atakusaidia. Tutumie namba yako ya simu ili tuwasiliane na wewe nakukuelekeza cha kufanya ili kutatua matatizo yako. Tuma kwenye namba zifuatazo +255 755 175 187. Tafadhali kumbuka kuwa huduma hii ni ya bure kabisa. Usikubali kutuma pesa kwa namna yoyote ile usije ukatapeliwa MUNGU akusaidie Amen. Ili kujua huduma zetu nyingine tunazotoa bonyeza hapo chini kwnye alama ya MENU alafu itakupa maelekezo ya njia mbalimbali za huduma zetu bonyeza kila njia husika nayo itafunguka ili uyaone yalio ndani yake.