HUDUMA YA MAOMBI NA MAOMBEZI
TUNAUTAMBUWA UHITAJI ULIOPO WA WATU KUELEMEWA NA CHANGAMOTO NYINGI ZA KIMAISHA HUSUSANI MATATIZO YA MAGONJWA SUGU, MIGOGORO YA NDOA NA TATIZO LA MAHUSIANO KWA UJUMLA WAKE, UKOSEFU WA AJIRA, UDUNI WA MAISHA NA MSUKOSUKO WA KIUCHUMI,MIZIGO YA MADENI YASIO LIPIKA UONEVU WA NGUVUZA GIZA, MATATIZO YA KISAIKOLOJIA YANAYO PELEKEA WATU KUWA NA UGONJWA WA SONONA NA MENGINE MENGI.
Tunamshukuru Mungu wetu kutukubali na kutupa kibali cha kuwasiliana nae moja kwa moja kupitia maombi, kwa hakika amekuwa akitujibu kwa udhahili kabisa.
Hatuna mashaka katika hili,Hatuogopi,Hatubahatishi, hatubabaishi,wala hatuoni haya tusemapo Mungu wetu anajibu kwa udhahili.
Tunakualika mpendwa na wewe uje tushiriki neema hii pamoja. Njoo tu! Hivyo hivyo ulivyo tumombe Mungu pamoja, utapata ufumbuzi wa tatizo lako. Hatakama ulisha kata tama, njoo tu Mungu atakufungua.
Tunapo sema njoo sio lazima usafili tuna maana kwamba utuite kwa simu tu hatakama upo kwako hukohuko. Tueleze shida zako. Halafu tutakuelekeza cha kufanya, na Mungu atalimaliza tatizo lako hilo.
Tuna sisitiza kuwa HUDUMA HII NI BURE KABISA. Usitume pesa kwa mtu yeyote, atakwibia.
TUPIGIE SIMU N0: 0755 175 187 MUNGU AKUSAIDIE
Mathayo 11:28
Njoni kwangu ninyi nyote msumbukao na wenye kuelemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. (ASEMA BWANA YESU).