Masomo tunayo tarajia kutoa, orodha yake Ni hii.
Kozi 13 zinahitajika
- Historia ya Ukristo Ulimwenguni au historian ya Kanisa.
- Kanisa na Huduma
- Misingi ya huduma
- Uchambuzi na ufafanuzi wa wa maandiko
- Uchambuzi wa Agano Jipya
- Uchambuzi wa Agano la Kale
- Kutegemeza wachungaji
- Theolojia I
- Theolojia II
- Misingi ya Kikristo
- Ujenzi na Uwasilishaji wa Mahubiri
- Watu Mahiri kwa huduma
- Uhusiano Wa Viongozi wa Kikristo
Ukikamilisha masomo haya, utakuwa umefikia kiwango Cha kiwa mchungaji au mhubili aliekamilika kielimu kwa saizi ya ngazi ya cheti, Tena kimataifa.
Majina ya masomo haya kwa Kingereza Ni haya.
13 courses required
- History of World Christianity
- Church and Ministry
- Ministry Foundations
- Hermeneutics and Exegesis
- New Testament Survey
- Old Testament Survey
- Pastoral Care
- Theology I
- Theology II
- Christian Basics
- Sermon Construction and Presentation
- People Smart for Ministry
- Christian Leaders Connections